Skip to main content

Posts

Showing posts from April 24, 2022

HABARI KARIBU KATIKA UWANJA HUU UTAFAHAMU MIMEA MBALIMBALI AMBAYO NI DAWA BORA ZAIDI KWA AFYA FAIDA ZAKE NA MADHARA YAKE KWA MATUMIZI YASIO SAHIHI

 Katika dunia tunayo ishi tulipewa mimea kua Chakula kwa AFYA bora zaidi.  Maranyingi mimea hua na ufanisi na faida nyingi Sana kwa Afya, inagawa watu wengi Sana hatulitambui hilo   yamkini wengi wetu tunapo pata shida na changamoto za kiafya tunaweza kuwafuata wataalamu waafya kupata suluhisho, ukiwa haikuwezekana tunaigeukia mimea.     Mimea nibora zaidi katika kutatua changamoto hizo zakila siku ila kuna athari kubwa Sana kama ukitumia Dawa usijue kiwango sahihi Cha mimea huo kinacho paswa kutumika  hii nihatari. Mara nyingi kama tunavyo jua dawa nyingi ni sumu pia kwa mwili hivyo tunapaswa kufahamu wazi kua hata mimea sio yote nisalama kwa kuchukuliwa kinywani.   Lazima TUUFAHAMU mimea sahihi na kiwango sahihi kwa matumizi ya Afya.   Chukulia mfano mtu asie yajua mafuta ya nyonyo castle oil  akayachukua kinywani  waweza kuhisi kuna dalili zamtu huyu kua na kipindupindu. JAWS LIFE INTERNATIONAL COMPANY   tumejitolea wazi kukuelemisha Ili uweze kufahamu mimea salama ni iipi  na nik