HABARI KARIBU KATIKA UWANJA HUU UTAFAHAMU MIMEA MBALIMBALI AMBAYO NI DAWA BORA ZAIDI KWA AFYA FAIDA ZAKE NA MADHARA YAKE KWA MATUMIZI YASIO SAHIHI
Katika dunia tunayo ishi tulipewa mimea kua Chakula kwa AFYA bora zaidi.
Maranyingi mimea hua na ufanisi na faida nyingi Sana kwa Afya, inagawa watu wengi Sana hatulitambui hilo
yamkini wengi wetu tunapo pata shida na changamoto za kiafya tunaweza kuwafuata wataalamu waafya kupata suluhisho, ukiwa haikuwezekana tunaigeukia mimea.
Mimea nibora zaidi katika kutatua changamoto hizo zakila siku ila kuna athari kubwa Sana kama ukitumia Dawa usijue kiwango sahihi Cha mimea huo kinacho paswa kutumika hii nihatari.
Mara nyingi kama tunavyo jua dawa
nyingi ni sumu pia kwa mwili hivyo tunapaswa kufahamu wazi kua hata mimea sio yote nisalama kwa kuchukuliwa kinywani.
Lazima TUUFAHAMU mimea sahihi na kiwango sahihi kwa matumizi ya Afya.
Chukulia mfano mtu asie yajua mafuta ya nyonyo castle oil akayachukua kinywani waweza kuhisi kuna dalili zamtu huyu kua na kipindupindu.
JAWS LIFE INTERNATIONAL COMPANY
tumejitolea wazi kukuelemisha Ili uweze kufahamu mimea salama ni iipi na nikiwango gani Sasa Cha matumizi ya nyumbani madhara yake kwa lika tofauti...
Tutaangazia mimea yote nafaida zake kwa Afya
Tuandikie
Whatsapp +255768344980
Instagram. Jaws_life1
Face bookh. //www.facebook.com/JAWS-LIFE-104161085600067/
Comments
Post a Comment